BIR VS WILDLIFE
mpira ulikua mkali sana kati ya wanafunzi wa Bachelor of information and record management na wildlife first year. BIR walianza kuongoza magoli matatu na badae wildlife walikuja na nguvu mpya na kurudisha goli zote tatu na mpira kuisha kwa droo.